Thursday, 2 August 2018

 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (wa pili kulia) akisalimiana na Naibu Spika wa Bunge la Kenya, Mhe. Moses Cheboi (wa pili kushoto) pale ugeni kutoka Bunge la Kenya ulipomtembelea leo tarehe 02 Agosti, 2018 Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Kutoka kulia ni Wabunge Mhe. Wafula Wamunyinyi na Mhe. Farhiya Haji (kushoto)
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati) akizungumza na ugeni kutoka Bunge la Kenya ulipomtembelea leo tarehe 02 Agosti, 2018 Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Ugeni huo ulioongozwa na Naibu Spika wa Bunge la Kenya, Mhe. Moses Cheboi
Reactions:

0 comments:

Post a Comment