Tuesday, 15 May 2018

  Rais John Magufuli, akisisitiza hjambo wakati wa ziara yake ya kjushtukiza kwenye bandari ya Dar es Salaam, eneo la kuhifadhi mafuta ya kula baada ya kushushwa melini leo Mei 15, 2018. Rais alifanya ziara hiyo baada ya kuwepo uhaba mwa mafuta hayo kufuatia hatua ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kushuku kiwango cha ushuru kulingana na aina ya mafuta yaliyopo. Mhe. Rais alisema kumekuwepo udanganyifu kwenye shehena hiyo ya mafuta na ameagiza hatua stahiki zichukuliwe Kushoto ni Mkurugenziw a kampuni ya uinbgizaji mafuta ya kula nchini TLS&VOT Bw.  Claudio Ghiraldi

 Rais John Magufuli, akisisitiza hjambo wakati wa ziara yake ya kjushtukiza kwenye bandari ya Dar es Salaam, eneo la kuhifadhi mafuta ya kula baada ya kushushwa melini leo Mei 15, 2018.


 Rais alipata fursa ya kusalimiana na baadhi ya mama lishe na wachuuzi wa matunda nje ya eneo la bandari.
Rais akigawia wananchi  mapapai baada ya kuyanunua.(PICHA NA IKULU)
Reactions:

0 comments:

Post a Comment