Friday, 25 May 2018

 Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe.John Mongella, (Kushoto mwenye kofia), akimlaki Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar (Mstaafu), ambaye pia ni Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad, ofisini kwake jijini Mwanza Mei 24, 2018. Maalim Seif yuko jijini Mwanza kwa ziara ya kikazi. 
Maalim Seif akiteremka kutoka kwenye gari lake huku Mhe. Mongella akimsubiri, wakati akiwasilki jijini Mwanza.
Maalim Seif, (katikati), akiwa kwenye mazungumzo na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhe. John Mongella, (kushoto). Kulia ni Afisa wa cheo cha juu wa CUF, Nassor Mazrui.

Mhe. Mongela (kushoto), akizungumza mbele ya Maalim Seif.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongella, akipunga mikono ya kumuaga Maalim Seif akiwa ndani ya gari.
Reactions:

0 comments:

Post a Comment