Wednesday, 16 May 2018

 
Mkuu wa Wilaya ya Kondoa Mhe.
Ezeria Makot( wa pili kushoto) akipokea bango la wadau kutoka nchi za ulaya wanaounga mkono jitihada za Serikali ya Tanzania kupinga ndoa za utotoni wakati wa maadhimisho ya Siku ya Familia Duniani iliyofanyika Wilayani Kondoa katika Mkoa wa Dodoma.

  Nesi akimchoma mtoto wa Mkuu wa Wilaya ya Kondoa Vanessa Makota Chanjo ya Saratani ya Shingo ya Kizazi katika uzinduzi wa chanjo hiyo Wilayani Kondoa wakati wa maadhimisho ya Siku ya Familia Duniani iliyofanyika Wilayani humo.

 
Mkuu wa Wilaya ya Kondoa Mhe.
Ezeria Makota akiwasisitiza wazazi kuchangia ujenzi wa famila na taifa kwa kuwapa  malezi bora watoto  wakati wa maadhimisho ya Siku ya Familia Duniani iliyofanyika Wilayani Kondoa katika Mkoa wa Dodoma.

  Mkurugenzi wa Maendeleo ya Mtoto Bibi Magreth Mussai akizungumzia umuhimu wa malezi bora katika familia na wajibu wa wazazi katika kutoa malezi hayo wakati wa maadhimisho ya Siku ya Familia Duniani iliyofanyika Wilayani Kondoa katika Mkoa wa Dodoma.Wananchi wa Wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma wakifuatilia mambo mbalimbali katika Siku ya Familia Duniani yaliyokuwa yakifanyika katika Wilaya ya Kondoa Mkoani Dodoma.(PICHA NA KITENGO CHA MAWASILIANO WAMJW)
Reactions:

0 comments:

Post a Comment