Monday, 5 February 2018

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Herbert Kairuki Memorial, Prof. Chales Mgone akiongea na waandishi wa habari kwenye mkutano nao uliohusu maadhimisho ya Kumbukizi ya Mwasisi na Mmiliki wa Shirika la Elimu Kairuki (KHEN), Chuo Kikuu cha Kumbukumbuku ya Hubert Kairuki (HKMU), Hospitali ya Kairuki (KH)  na Shule ya Uuguzi Kairuki (KSN). Mkutano huo umefanyika Dar es Salaam leo Februari 4 2018. Kushoto ni Makamu Mkuu wa HKMU (Taaluma), Prof. Ntabaye Moshi na Mkurugenzi wa chuo hicho, Dkt. Asser Mchomvu. (Imeandaliwa na Robert Okanda Blogs)
Mkurugenzi wa chuo hicho, Dkt. Asser Mchomvu, akiongea na waandishi wa habari kwenye mkutano uliohusu maadhimisho ya Kumbukizi ya Mwasisi na Mmiliki wa Shirika la Elimu Kairuki (KHEN), Chuo Kikuu cha Kumbukumbuku ya Hubert Kairuki (HKMU), Hospitali ya Kairuki (KH)  na Shule ya Uuguzi Kairuki (KSN). Mkutano huo umefanyika Dar es Salaam leo Februari 4 2018. Kulia ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Herbert Kairuki Memorial, Prof. Charles Mgone na Makamu Mkuu wa HKMU (Taaluma), Prof. Ntabaye Moshi. 
Reactions:

0 comments:

Post a Comment