Sunday, 14 January 2018


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli (kulia) akimkaribisha mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Rwanda Paul Kagame Ikulu ya Jijini Dar es Dar es Salaam leo. Rais Kagame amekuja nchini kwa ziara ya kikazi ya siku mmoja.  Rais Dkt. John Pombe Magufuli, na Mgeni wake, wakati wa mkutano na waandishi wa habari Ikulu jijini Dar es Salaam, mar baada ya mazunhumzo yao. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisisitiza jambo mbele ya waandishi wa habari kuhusu mazungumzo baina yake na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Rwanda Paul Kagame (kushoto) leo Ikulu Jijini Dar es Dar es Salaam. Rais Kagame amekuja nchini kwa ziara ya kikazi ya siku moja. Rais wa Jamhuri ya Rwanda Paul Kagame akisisitiza jambo mbele ya waandishi wa habari kuhusu mazungumzo baina yake na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli (kulia) leo Ikulu Jijini Dar es Dar es Salaam. Rais Kagame amekuja nchini kwa ziara ya kikazi ya siku moja.[/caption]   Wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama na m,aafisa wengine wa serikali Baadhi ya viongozi wakifuatilia mkutano wa Marais DK. John Pombe Magufuli wa Tanzania na Paul Kagame wa Rwanda mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Rwanda Paul Kagame leo Ikulu Jijini Dar es Dar es Salaam. Rais Kagame amekuja nchini kwa ziara ya kikazi ya siku moja. (Picha na: MAELEZO)
Reactions:

0 comments:

Post a Comment