Tuesday, 30 January 2018

 Katibu wa kikao cha ushirikiano baina ya Serikali na wadau wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGOs) Bi. Tausi Mwilima (kulia)akisoma Muhtasari wa kikao kilichopita kwa wajumbe wakati wa kikao cha pamoja moja kilicholenga kujadili mpango shirikishi wa utekelezaji wa Sera mbalimbali zinazosimamiwa na kuratibiwa na Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii ili kuharakisha Maendeleo na Ustawi wa Jamii.
 Kaimu Katibu Mkuu Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bw. Marcel Katemba (wa tatu kulia)akifungua kikao baina ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGOs ) na Serikali kilicholenga kujadili mpango wa pamoja katika utekelezaji wa Sera mbalimbali zinazosimamiwa na kuratibiwa na Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii, kilichofanyika Makao Makuu Dodoma tarehe 30.1.2018.
 Mwakilishi wa Shirika la World Vision Bi. Janeth Edison akitoa mrejesho kutoka katika Taasisi yao kuhusu utekelezaji wa Makubaliano (MoU) baina ya Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto na wadau wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGOs) wakati wa kikao kati ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGOs )na Serikali kilichofanyika makao Makuu Dodoma kujadili ushirikiano na utekelezaji wa Sera mbalimbali zinazosimamiwa na kuratibiwa na Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii.
 Mwakilishi wa Shirika la JSI Bi Victoria Munisi(katikati) akitoa mrejesho kutoka katika Taasisi yao kuhusu utekelezaji wa Makubaliano (MoU) baina ya Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto na wadau wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGOs) wakati wa kikao kati ya pande hizo mbili kilicholenga kujadili ushirikiano wa pamoja na utekelezaji wa Sera mbalimbali zinazosimamiwa na kuratibiwa na Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii.
 Afisa Ustawi wa Jamii Bw. Twaha Kibalula  akiwasilisha mada kuhusu uimarishwaji wa mifumo ya Ustawi na utolewaji wa Huduma za Ustawi wa Jamii wakati wa kikao kati ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGOs )na Serikali kilicholenga kujadili ushirikiano na utekelezaji wa Sera mbalimbali zinazosimamiwa na kuratibiwa na Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii.
 Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Jamii Bw. Patrick Golwike(kulia) akiwasilisha taarifa fupi juu ya Mpango wa Kuamsha Ari ya wananchi kujitolea katika kufanya shughuli za maendeleo wakati wa kikao kati ya wadau wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali(NGOs )na Serikali kilicholenga kujadili mpango shiriki na endelevu wa utekelezaji wa Sera mbalimbali zinazosimamiwa na kuratibiwa na Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii.
 Baadhi ya wajumbe wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zinatolewa wakati wa kikao kati ya wadau wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGOs )na Serikali kilicholenga kujadili utaratibu bora wa ushirikiano na utekelezaji wa Sera mbalimbali zinazosimamiwa na kuratibiwa na Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii
 Mkurugenzi wa Shirika la REPSSI Bibi Edwick Mapalala akitoa mrejesho kutoka katika shirika lake kuhusu utekelezaji wa Makubaliano (MoU) baina ya Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto na Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGOs) wakati wa kikao kati ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGOs)na Serikali kilicholenga kujadili ushirikiano na utekelezaji wa Sera mbalimbali zinazosimamiwa na kuratibiwa na Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii.
 Mwakilishi wa Kigamboni Community Bw. Rashid Kombo(katikati) akitoa mrejesho kutoka katika Taasisi yao kuhusu utekelezaji wa Makubaliano (MoU) baina ya Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinisa, Wazee na Watoto na Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGOs) wakati wa kikao kati ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGOs) na Serikali kilichokutana mjini Dodoma kujadili ushirikiano na utekelezaji wa Sera mbalimbali zinazosimamiwa na kuratibiwa na Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii.
Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Watoto Bi. Magreth Mussai(kushoto) akiwasilisha ripoti ya utekelezaji wa Mpango wa Taifa wa kutokomeza Ukatili Dhidi ya Wanawake na Watoto wakati wa kikao kati ya wadau wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGOs )na Serikali kilicholenga kujadili utekelezaji shirikishi wa Sera mbalimbali zinazosimamiwa na kuratibiwa na Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii.(Picha na Kitengo cha Mawasiliano WAMJW)
Reactions:

0 comments:

Post a Comment