Friday, 19 January 2018

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo Janjuari 19, 2018 ameongoza kikao cha Wadau wa Mazingira kuhusu Changamoto ya Mafuriko na Hifadhi ya Mazingira katika mkoa wa Dar es Salaam, kikao hicho kimefanyika kwenye ukumbi wa mikutano uliopo kwenye ofisi ya Makamu wa Rais mtaa wa Luthuli. Pichani Makamu wa Rais akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul Makonda, wakati akiongoza kikao (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)Reactions:

0 comments:

Post a Comment