Monday, 15 January 2018

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro ofisini  kwake, Ikulu jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)


Reactions:

0 comments:

Post a Comment