Sunday, 13 August 2017

 Wanakwaya wa kwaya ya Kinondoni Carnival, wakitoa burudani wakati wa kikao cha majadiliano baina ya wainjilisti na wanakwaya kwenye ukumbi wa NSSF, Ilala jijini Dar es Salaam.
Mwimbaji wa nyimbo za Injili Chesco Kilemile akitoa maoni yake wakati wa kikao hicho kilichofanyika kwenye ukumbi wa NSSF Ilala jijini Dar es salam
 Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (wapili kushoto), akizunhuzma na wanakwaya na wainjilisti jijini Dar es Salaam, wakati alipowaita kujadiliana nao kuhusu masuala mbalimbali yanayozunguka tasnia ya sanaa hapa nchini.


 Viongozi wa Wainjilisti wa jijini Dar es SalaamWaziri wa Habari, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati), akiwa kwenye picha ya pamoja na  kwaya ya Wainjilisti mara baada ya kuzungumza nao kwenye ukumbi wa NSSF Ilala jijini Dar es Salaam. Waziri amekuwa akikutana na makundi mbalimbali ya wasanii ili kujua changamoto zinazowakabili na namna ya kuzitatua.
Reactions:

0 comments:

Post a Comment