Friday, 11 August 2017

4
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe waliombatana na Barozi wa Uhamasishaji masuala ya mimba na ndoa za utotoni Bi. Natalie Dormer wa Shirika la Kimataifa la Plan.
1
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akiwakaribisha wageni waliombatana na Barozi wa Uhamasishaji masuala ya mimba na ndoa za utotoni Bi. Natalie Dormer wa Shirika la Kimataifa la Plan hawapo pichani katika ukumbi wa mikutano wa Wizara ya Afya leo jijini Dar es Salaam.
2
Mkurugenzi wa Uhamasishaji Umma wa Shirika la Kimataifa la Plan Bwana Mike Thiedke kushoto na Bi Gyowneth Wong Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Plan Tanzania katikati pamoja na Mkurugenzi Msaidizi wa watoto bwana Misani wakifuatilia kwa makini mazungumzo kati ya ujumbe wa Mhe. Waziri leo katika ukumbi wa Wizara ya Afya jijini Dar es Salaam.
3
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akimsikiliza kwa makini Barozi wa Uhamasishaji masuala ya mimba na ndoa za utotoni Bi. Natalie Dormer wa Shirika la Kimataifa la Plan katika ukumbi wa mikutano wa Wizara ya Afya leo jijini Dar es Salaam.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment