Friday, 11 August 2017

PMO_9459

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akihotubia mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Veta Jimbo la  Ulyankulu wilayani Kaliua Mkoani Tabora leo August 11.2017, ambapo amewataka wananchi waliopewa uraia kuheshimu sheria za nchi vinginevyo watachukuliwa hatua za kisheria.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PMO_9545
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa  akiongea na wananchi wa kitongoji cha Mwamnange kilichopo Wilaya ya Kaliua  leo  Agosti 11 2017 .Wananchi hao walisimamisha msafara wake ili kumuomba serekali iwasaidie kupata  Umeme. Waziri Mkuu yupo Mkoani Tabora kukagua shughuli za maendeleo
PMO_9356
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa CUF Jimbo la Kaliua ,Magdalena Sakaya .Agosti 11.2017,Waziri Mkuu yupo wilayani Kaliua kwa ziara ya kikazi ya kukagua shughuli za maendeleo katika Mkoa wa Tabora
 
Reactions:

0 comments:

Post a Comment