Saturday, 5 August 2017


Afisa Habari (Itifaki) wa Bunge, Bw. Patson Sobha (kushoto) akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Miyuji walipotembelea Banda la Bunge katika Maonyesho ya Nane nane yanayoendelea Mjini Dodoma.


Afisa Habari (Itifaki) wa Bunge, Bw. Patson Sobha akizungumza na wageni Mbali mbali waliotembelea Banda la Bunge katika Maonesho ya Nane nane yanayoendelea Mjini Dodoma.(PICHA NA OFISI YA BUNGE)


Reactions:

0 comments:

Post a Comment