Sunday, 6 August 2017


Mkurugenzi Msaidizi wa Bunge, Ndg. Neema kiula (kushoto)akitoa maelezo kuhusu vazi rasmi la Spika akiwa anaendesha vikao vya Bunge, pale wageni Mbali mbali walipotembelea Banda la Bunge katika Maonyesho ya Nane nane yanayoendelea katika Viwanja vya Nzunguni Mjini Dodoma.


Afisa Habari wa Bunge, Ndg. Zuhura Mtatifikolo (kushoto)akitoa ufafanuzi kuhusu Siwa alimaarufu kama Rungu la Dhahabu katika Maonyesho ya Nane nane yanayoendelea katika Viwanja vya Nzunguni Mjini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)Mshauri wa Bunge wa Mambo ya Sheria, Ndg. Everyne Shibandiko (kushoto) akitoa maelezo kuhusu Chimbuko la Bunge pale wageni Mbali mbali walipotembelea Banda la Bunge katika Maonyesho ya Nane nane yanayoendelea katika Viwanja vya Nzunguni Mjini Dodoma
Reactions:

0 comments:

Post a Comment