Tuesday, 8 August 2017

Mashabiki wa Simba waliojitokeza kwenye Tamasha la Simba Day linalofanyika Kwenye Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salam alasiri hii ya Agosti 8, 2017. Katika tamasha hilo linalofanyika kila mwanzo mwa msimu wa ligi kuu soka Tanzania bara, Simba inatarajia kuwatambulisha wachezaji wake iliowasajili kwa msimu huu wa ligi kabla ya kumenyananna Rayon Sport ya Rwanda katika pambano la soka la kirafiki kuelekea msimu wa ligi wa 2017.
 
 
 
 
 
 
 
 
 
Reactions:

0 comments:

Post a Comment