Friday, 11 August 2017

Postamasta Mkuu na Ofisa Mtendaji Mkuu wa TPC, Deo Kwiyukwa (kulia) na Mkurugenzi Mwendeshaji na Ofisa Mtendaji Mkuu wa ATCL, Ladislaus Matindi (kushoto), wakitia saini makubalianoya ushirikiano kati ya taasisi zao hizo mbili. Kulia anayemsaidia Postamasta Mkuu ni Mwanasheria wa TPC, Bi. Zuhura Pinde.
Mkurugenzi Mwendeshaji na Ofisa Mtendaji Mkuu wa ATCL, Ladislaus Matindi(kushoto), akizunguza baada ya kusaini makubaliano hayo. Pembeni yake ni Postamasta Mkuu na Ofisa Mtendaji Mkuu wa TPC, Deo Kwiyukwa.
Baadhi ya Maofisa wa TPC na waandishi wa habari, wakifuatilia maelezo yaliyokuwa yakitolewa na Mkurugenzi Mwendeshaji na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL), Ladislaus Matindi, wakati wa mkutano huo. 
Baadhi ya Maofisa wa TPC na waandishi wa habari, wakifuatilia maelezo yaliyokuwa yakitolewa na Mkurugenzi Mwendeshaji na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL), Ladislaus Matindi, wakati wa mkutano huo, wa makubaliano ya ushirikiano wa taasisi hizo wa kutoa huduma.  
Postamasta Mkuu na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Deo Kwiyukwa (kulia), akizungumza na waandishi wa habari kuhusu ushirikiano huo. 
Postamasta Mkuu na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Deo Kwiyukwa (kulia), akifafanua jambo wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu ushirikiano huo.  
Postamasta Mkuu na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Deo Kwiyukwa (kulia), akijibu maswali ya waandishi wa habari, wakati wa mkutano huo. Wa pili kulia ni Mkurugenzi Mwendeshaji na Ofisa Mtendaji Mkuu wa ATCL, Ladislaus Matindi, kushoto ni Mkurugenzi wa Biashara na Masoko wa ATCL, Josephat Kagirwa na aliyesimama ni Mwanasheria wa ATCL, Phillipo Mahenge.

Postamasta Mkuu na Ofisa Mtendaji Mkuu wa TPC, Deo Kwiyukwa (kulia) na Mkurugenzi Mwendeshaji na Ofisa Mtendaji Mkuu wa ATCL, Ladislaus Matindi (kushoto), wakitia saini mkataba huo wa ushirikiano kati ya taasisi zao hizo. Aliyesimama kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa TPC, Elia Madulesi.
Postamasta Mkuu na Ofisa Mtendaji Mkuu wa TPC, Deo Kwiyukwa (kushoto) na Mkurugenzi Mwendeshaji na Ofisa Mtendaji Mkuu wa ATCL, Ladislaus Matindi (kulia), wakibadilishan hati za mkataba huo, mara baada ya kuusaini jijini Dar es Salaam.  
Postamasta Mkuu na Ofisa Mtendaji Mkuu wa TPC, Deo Kwiyukwa (kushoto) na Mkurugenzi Mwendeshaji na Ofisa Mtendaji Mkuu wa ATCL, Ladislaus Matindi (kulia), wakiuonesha kwa waandishi wa habari mkataba huo, mara baada ya kuusaini jijini Dar es Salaam.   
Postamasta Mkuu na Ofisa Mtendaji Mkuu wa TPC, Deo Kwiyukwa (kulia) akimtambulisha baadhi ya watendaji wa shirika hilo, Mkurugenzi Mwendeshaji na Ofisa Mtendaji Mkuu wa ATCL, Ladislaus Matindi (wa pili kulia), mara baada ya kumalizika shughuli hiyo, Dar es Salaam.  
Reactions:

0 comments:

Post a Comment