Monday, 7 August 2017

Mbunge
wa jimbo la Singida Kaskazini,Lazaro Nyalandu akizungumza jambo na
mmoja wa marubani wa shirika la Samaritan’s Purse kwenye uwanja wa ndege
wa kimataifa wa Kilimanjaro kabla ya wanafunzi watatu hawajaelekea
Marekani kwa matibabu kufuatia ajali iliyotokea wilayani Karatu wiki
iliyopita.

Mkuu
wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo akifurahia jambo na mmoja wa marubani wa
kampuni ya Samaritan’s Purse kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa
Kilimanjaro
kabla ya wanafunzi watatu hawajaelekea Marekani kwa matibabu kufuatia
ajali iliyotokea wilayani Karatu wiki iliyopita.

Mbunge
wa jimbo la Singida Kaskazini,Lazaro Nyalandu akizungumza jambo kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro.

Mbunge
wa jimbo la Singida Kaskazini,Lazaro Nyalandu na Mkuu wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo wamjulia hali Doreen Elibarick

Mkuu
wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo akimsalimia Doreen Elibarick kabla ya kupanda ndege kwenda Marekani kwa matibabu.
Utaratibu wa kuwaingiza kwenye gari kisha kwenye ndege ukiendelea na maafisa wa uwanja wa ndege wa KIA.

Mkuu
wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo akifurahia Kadi zilizoandaliwa na wanafunzi wa shule ya ISM kwaajili ya wanafunzi wenzao.
Imeandaliwa na www.rweyemamuinfo.blogspot.com
Reactions:

0 comments:

Post a Comment