Sunday, 13 August 2017

RaisMstaafuwaAwamuya Pili, Ali Hassan Mwinyi, akisikilizamaelezokutokakwaInspekta Ibrahim Samwix, wakatialipotembeleamabandambalimbalikwenyeTamasha la UsalamaBarabaranilililofanyikaUwanjawa Uhuru,jijini Dar es Salaam.KushotoniNaibu Waziri Wizaraya Mambo yaNdaniyaNchi,MwenyekitiwaBaraza la Taifa la UsalamaBarabarani,Mhandisi Hamad Masauni.PichanaWi

zaraya Mambo yaNdaniyaNchi


RaisMstaafuwaAwamuya Pili, Ali Hassan Mwinyi(aliyevaasuti),akisikilizamaelezojinsiuvunjajiwasheriazausalamabarabaraniunavyowezakusababishaajali, wakatialipotembeleabanda la Maaskariwausalamabarabarani, kwenyeTamasha la UsalamaBarabaranilililofanyikajanaUwanjawa Uhuru,jijini Dar esSalaam.PichanaWizaraya Mambo yaNdaniyaNchi


Naibu Waziri Wizaraya Mambo yaNdaniyaNchi,MwenyekitiwaBaraza la Taifa la UsalamaBarabarani,Mhandisi Hamad Masauni(kushoto), akimkabidhituzoMgeniRasmi,RaisMstaafuwaAwamuya Pili, Ali Hassan Mwinyi, wakatiwaTamasha la UsalamaBarabaranilililofanyikajanaUwanjawa Uhuru,jijini Dar es Salaam.PichanaWizaraya Mambo yaNdaniyaNchi


KamishnawaOperesheninaMafunzowaJeshi la Polisi, NsatoMarijani(kushoto), akipokeazawadikutokakwaNaibu Waziri Wizaraya Mambo yaNdaniyaNchi,MwenyekitiwaBaraza la Taifa la UsalamaBarabarani,Mhandisi Hamad MasaunikwaniabayaMkuuwaJeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirrokwakutambuamchango wake katikasualanzima la UsalamaBarabaraniwakatiwaTamasha la UsalamaBarabaranilililofanyikajana, Uwanjawa Uhuru jijini Dar esSalaam.KulianiRaisMstaafuwaAwamuya Pili, Ali Hassan Mwinyi.PichanaWizaraya Mambo yaNdaniyaNchiMgeniRasmi,RaisMstaafuwaAwamuya Pili, Ali Hassan Mwinyi, akizungumzawakatiwaTamasha la UsalamaBarabaraniambapoaliwaasawatumiajiwavyombovya moto kufuatasheriazausalamabarabaraniilikuepukaajalizinazosababishaulemavunavifo.Tamashahilolimefanyikajana, Uwanjawa Uhuru,jijini Dar es Salaam.PichanaWizaraya Mambo yaNdaniyaNchi
IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI-WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI.
Reactions:

0 comments:

Post a Comment