Monday, 7 August 2017


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe kuashiria ufunguzi wa Kituo cha Kisasa cha Mabasi cha Korogwe mjini mkoani Tanga leo Agosti 7, 2017.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi waliofika katika ufunguzi huo wa Kituo cha Kisasa cha Mabasi cha Korogwe mjini mkoani Tanga.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na mananchi mara baada ya kufungua Kituo cha Kisasa cha Mabasi cha Korogwe mjini mkoani Tanga.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na mananchi mara baada ya kufungua Kituo cha Kisasa cha Mabasi cha Korogwe mjini mkoani Tanga.

 Muonekano wa stendi kuu mpya na ya kisasa ya mabasi ya abiria mjini Korogwe mkoani Tanga, ambayo imejengwa kwa thamani ya shilingi Bilioni 4. Stendi hiyo imezinduliwa mapema leo asubuhi na Mhe. Rais wa Jamhui ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli. Stendi hiyo itakuwa na mzunguko wa maduka zaidi ya 100 ambapo Rais ameagiza mamlaka zinazohusika kuwagawia wananchi wa Korogwe sehemu hizo za kufanyia biashara na kuonya watendaji walioandaa watu wao wa kuwagawia sehemu hizo za biashara. Rais anamalizia ziara yake ya siku tano mloani Tanga leo Agosti 7, 2017. (PICHA NA IKULU)


Reactions:

0 comments:

Post a Comment