Monday, 7 August 2017


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akizungumza na  uongozi wa Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo pamoja na Bodi ya Wakurugenzi Baraza la Sanaa na Sensa ya Filamu na Uongozi wa Baraza la Sanaa na Sensa ya Filamu katika kikao cha siku moja kilichofanyika leo Agosti 7, 2017 ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja. Kikao hicho kimejadili mambo mbali mbali ya kiutendaji. (PICHA NA IKULU YA ZANZIBAR)

Watendaji waliokutana na Mhe. Rais wa Zanzibar.
Reactions:

0 comments:

Post a Comment