Wednesday, 2 August 2017


Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akisalimiana na Spika wa Bunge la Umoja wa Falme za Kiarabu, Mhe. Dkt. Amal Al Qubaisi baada ya kutembelea Bunge hilo na kufanya nae mazungumzo ambapo pia amewasilisha  mapendekezo rasmi ya kuanzisha umoja na urafiki wa kibunge baina ya Bunge la Tanzania na Bunge la Umoja wa Falme za Kiarabu ambayo yamekubaliwa


Mhe. Spika Job Ndugai akikabidhi ujumbe wake maalum kwa  Spika wa Bunge la Umoja wa Falme za Kiarabu, Mh. Dkt. Amal Al Qubaisi.

Mhe. Spika Job Ndugai akikasaini kitabu cha wageni wakati alipotembelea Bunge la Umoja wa Falme za Kiarabu  huku akiangaliwa na Spika wa Bunge hilo, Mh. Dkt. Amal Al Qubaisi (katikati) na Katibu wa Bunge Ndg. Ahmed Shabeeb.


Reactions:

0 comments:

Post a Comment