Sunday, 13 August 2017

Mwakilishi wa ya waandaaji wa maonesho ya kimataifa ya wajenzi ya Dar es Salaam, 2017, Bi.Wanda Gordon, (kushoto), akimkabidhi cheti cha ushiriki Bw. Nitin Vekariya kutoka kampuni ya Shrijee Impex Tanzania Limited wakati wa maonesho hayo yliyofanyika Mlimani City, jijini Dar es Salaam.

 Baadhi ya washiliki wa maonesho wakipokea cheti cha ushiriki kutoka kwa Bi. Wanda Gordon, (kushoto), Mlimani City jijini Dar es Salaam.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment