Friday, 4 August 2017 Aliyekuwa mgombea urais wa Tanzania kupitia UKAWA, mhe. Edward Lowassa, akisalimiana na Rais wa Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta, kwenye moja ya mikutano ya kampeni ya chama tawala cha Jubilee mjini Nairobi Kenya. Lowassa alitangaza kumuunga mkono Rais Kenyatta kwenye uchaguzi Mkuu wa nchi hiyo unaotarajiwa kufayika Agosti 8, 2017 ambapo mpinzani mkubwa wa Rais Kenyatta ni Bw. Raila Udinga anayeongoza muungano wa upinzani ujulikanao kama NASA.
Mhe. Lowassa akihutubia kwenye mkutano huo.Reactions:

0 comments:

Post a Comment