Monday, 7 August 2017

 Wadau wa kilimo Jog Agri consult and Solution (T) Ltd, wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya semina yao iliyofanyika ukumbi wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam kujadili masuala ya kilimo bora, ikiwa ni pamoja na matumizi bora ya mbegu
 Mgeni rasmi kwenye semina hiyo, Naibu Waziri mstaafu, Dkt. Seif Rashid.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Jog Agri consult and Solution (T) Ltd, Bi. Grace Mzoo, akizungumza wakati wa semina hiyo.
 Wafanyakazi wa Jog Agri consult and Solution (T) Ltd, wakiwa na furaha baada ya kukamilika kwa semina iliyoandaliwa na taasisi hiyo.
 Mgeni rasmi na viongozi wa taasisi hiyo, wakiwa kwenye semina hiyo.
Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Jog Agri consult and Solution (T) Ltd, Bw. Jackson Bwire, akitoa taarifa kwa waandishi wa habari kuhusu semina hiyo.
Reactions:

0 comments:

Post a Comment