Friday, 11 August 2017

PIX 2
Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Mhandisi Hamad Masauni(wapili kulia), akiwa katika picha ya pamoja na   Mtanzania anayecheza mchezo wa kikapu nje ya nchi.Hasheem Thabeet(wapili kushoto), baada ya mazungumzo ya   Maandalizi ya Tamasha la Usalama Barabarani, linalotarajiwa kufanyika kesho Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam.Wengine ni ujumbe ulioongozana na mchezaji huyo. (Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)

PIX 1
Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Mhandisi Hamad Masauni,   akizungumza na Mtanzania anayecheza mchezo wa kikapu nje ya nchi, Hasheem Thabeet (kushoto), walipokutana kwa ajili ya Maandalizi ya Tamasha la Usalama Barabarani, linalotarajiwa kufanyika kesho Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam

Reactions:

0 comments:

Post a Comment