Thursday, 10 August 2017

03
Mkurugenzi Mtendaji wa ANGOZA Hassan Khamis Juma akitoa maelezo kuhusu Mradi wa kukuza ushiriki wa wananchi katika masuala ya sera na sheria wakati wa kutambulishwa rasmi mradi huo

01
Mwenyekiti wa Umoja wa Vikundi vya Hiyari Zanzibar (ANGOZA) Bi. Asha Aboud Mzee akielezea lengo la mradi wa kukuza ushiriki wa wananchi katika masuala ya sera na sheria hafla hiyo imefanyika Ofisi ya Umoja wa watu wenye  ulemavu Kikwajuni Mjini Zanzibar.
04
Baadhi ya washiriki wa mkutano wa Utambulisho wa Mradi wa kukuza ushiriki wa wananchi katika masuala ya sera na sheria wakifuatilia utambulisho huo katika Ofisi ya walemavu Kikwajuni.
05
Mjumbe wa mkutano wa utambulisho wa mradi huo kutoka Tume ya Mipango ya Wizara  Ramadhani Khamis akitoa mchango wake kwenye mkutano huo.(Picha na Makame Mshenga).
Reactions:

0 comments:

Post a Comment