Monday, 10 July 2017Mbunge wa Sengerema Mh. William Ngeleja  yuko Idara ya Habari Maelezo sasa akizungumza kuhusu kurudisha pesa zote za ESCRO Mil 40.4 alizopewa na mfanyabiashara  James Rugemalila,  amesema tayari  amerudisha TRA, Sh40.4 milioni alizokuwa amepewa na mfanyabiashara James Rugemalira-Taarifa zaidi juu ya habari hii tutawaletea baadae.
Reactions:

0 comments:

Post a Comment