Saturday, 15 July 2017


Mkuu wa Chuo cha Reli cha Tabora Eng. Richard Lauwo (katikati), akimuonesha Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, baadhi ya majengo yaliyopo chuoni hapo, wakati alipotembelea kuona maendeleo ya chuo hicho.

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, akizungumza na Mkuu wa Chuo cha Reli cha Tabora Eng. Richard Lauwo (kulia), wakati alipotembelea chuoni hapo jana katika ziara yake ya kikazi mkoani humo. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Tabora, Mwalimu Queen Mlozi.


Mkuu wa Chuo cha Reli cha Tabora Eng. Richard Lauwo (kushoto), akifafanua jambo Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, wakati alipotembelea chuoni hapo.Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, akizungumza na walimu na wanafunzi wa Chuo cha Reli cha Tabora, wakati alipofanya ziara yake chuoni hapo.Waziri Mkuu Serikali ya Wanafunzi kutoka Chuo cha Reli cha Tabora Bw. Isaac Fundisha akiuliza swali kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, wakati alipofanya ziara yake ya kikazi chuoni hapo.
Reactions:

0 comments:

Post a Comment