Sunday, 16 July 2017

_DSC0103
Waziri wa Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki , Kikanda na Kimataifa Mhe, Dkt, Augustine akinena jambo na  Balozi msaidizi wa China Bwana. Gao Haudong kwenye hafla  fupi ya kuzindua Chama cha umoja wa wahitimu, Wanafunzi    Watanzania walio Soma Nchini China (CAAT) iliyo fanyika P Jana jijini Dar es salaam.
_DSC0096
Waziri wa Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki , Kikanda na Kimataifa Mhe, Dkt, Augustine Mahiga Wa kwanza (kushoto) ni  Balozi msaidizi wa China Bwana. Gao Haudong  wa pili (kulia) ni  Balozi wa Tanzania Nchini China Bwana. Mbelwa Kairuki wakinena jambo kwenye  hafla  fupi ya kuzinduzi wa Ofisi za umoja wa wahitimu Wanafunzi   Watanzania walio Soma nchini China au China Alumni Association of Tanzania(CAAT) iliyo fanyika jijini Dar es salaam.
_DSC0153
Waziri wa Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki , Kikanda na Kimataifa Mhe, Dkt, Augustine akiambatana  na  Balozi msaidizi wa China Bwana. Gao Haudong kwenye uzinduzi wa ofisi za  umoja wa wahitimu, Wanafunzi  Watanzania walio Soma Nchini China (CAAT) ) iliyo fanyika Posta  Jana jijini Dar es salaam.
_DSC0167
Waziri wa Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,Kikanda na Kimataifa Mhe, Dkt, Augustine Katikati akipata picha ya pamoja na  wanaumoja wa (CAAT)  wapili (kulia) ni Balozi wa Tanzania Nchini China Bwas.  Mbelwa Kairuki  wa kwanza (kushoto) ni Mwenyekiti wa  (CAAT)  DKT.Liggy Vumilia  wa pili (kushoto) ni Balozi msaidizi wa China Bwana. Gao Haudong kwenye  hafla  fupi ya kuzindua Ofisi za  Chama wa wahitimu, Wanafunzi   Watanzania walio Soma Nchini China (CAAT) iliyo fanyika Jana jijini Dar es salaam.
Reactions:

0 comments:

Post a Comment