Monday, 17 July 2017

Mkurugenzi Mtendaji wa  Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI),  Prof. Mohamed Janabi,(kushoto),  akizungumza na wafanyakazi wakati wa mafunzo ya kuandaa mpango mkakati wa utendaji kazi wa Taasisi hiyo kwa kipindi cha miaka mitano yaliyofanyika leo Julai 18, 2017.

Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)  wakimfuatilia kwa makini mwenzeshaji kutoka Chuo Kikuu cha Mzumbe Prof. Andrew Mbwambo wakati wa mafunzo ya   kuandaa mpango mkakati  wa utendaji kazi wa Taasisi hiyo kwa kipindi cha miaka mitano.


Wawezeshaji wa kuandaa  mpango mkakati  wa utendaji kazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kipindi cha miaka mitano kutoka Chuo Kikuu Cha Mzumbe wakimsililiza Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo Prof. Mohamed Janabi wakati akizungumza katika mafunzo hayo yaliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.
(PICHA NA JKCI)Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)  wakimfuatilia kwa makini mwenzeshaji kutoka Chuo Kikuu cha Mzumbe Prof. Andrew Mbwambo wakati wa mafunzo ya   kuandaa mpango mkakati  wa utendaji kazi wa Taasisi hiyo kwa kipindi cha miaka mitano.
Reactions:

0 comments:

Post a Comment