Friday, 7 July 2017

kod2
Mh.Paul Makonda akiwa pamoja na Mstahiki Meya wa manispaa  ya Moshi Mh.Raymond Mboya ofisini kwake jijini Dar es salaam jana 06/07/2017. Mstahiki Meya wa manispaa ya Moshi amekutana na Mh. Paul Makonda kuzungumzia shughuli mbalimbali za kimaendeleo
kod1

Reactions:

0 comments:

Post a Comment