Wednesday, 5 July 2017


unnamed
Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Dkt. Albina Chuwa (kulia) akimkabidhi zawadi aliyekuwa Mtaalamu Mkuu Utawala kutoka Benki ya Dunia, Dkt. Verena Knippel wakati wa hafla fupi ya kumuaga mara baada ya kumaliza muda wake wa kufanya kazi hapa nchini. Hafla hiyo imefanyika leo jijini Dar es Salaam katika ukumbi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS).
1
Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Dkt. Albina Chuwa (kulia) akizungumza leo jijini Dar esa Salaam wakati wa hafla ya kumuaga aliyekuwa Mtaalamu Mkuu Utawala kutoka Benki ya Dunia, Dkt. Verena Knippel katika ukumbi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS).
2
Aliyekuwa Mtaalamu Mkuu Utawala kutoka Benki ya Dunia, Dkt. Verena Knippel (kushoto) akizungumza leo jijini Dar es Salaam wakati wa hafla ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kufanya kazi hapa nchini.
3
Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Dkt. Albina Chuwa (kulia) akimpongeza aliyekuwa Mtaalamu Mkuu Utawala kutoka Benki ya Dunia, Dkt. Verena Knippel (kushoto) wakati wa hafla ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kufanya kazi hapa nchini.
4
Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Dkt. Albina Chuwa (wa sita kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa NBS pamoja na aliyekuwa Mtaalamu Mkuu Utawala kutoka Benki ya Dunia, Dkt. Verena Knippel (wa tano kushoto) wakati wa hafla ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kufanya kazi hapa nchini.
Reactions:

0 comments:

Post a Comment