Sunday, 9 July 2017


masi1
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto) akimsalimia Mkuu wa Wilaya ya Kondoa, mkoani Dodoma, Sezaria Makota, mara baada ya kuwasili wilayani humo kwa ajili ya ziara ya kikazi. Wapili kulia ni Katibu Tawala wa Wilaya hiyo, Winnie Kitazi, na kulia ni Mkuu wa Jeshi la Polisi wilayani humo, SSP Mohamed Kitia.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
masi2
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauniakizungumza na Kamati ya Ulinzi na Usalama wa Wilaya ya Kondoa na Chemba mkoani Dodoma. Masauni amefanya ziara ya kikazi katika wilaya hizo. Wa kwanza kushoto  ni Mkuu wa Wilaya ya Kondoa, Sezaria Makota, na wapili kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Chemba, Simoni Odunga.Wa kwanza Kulia ni Mkuu wa Jeshi la Polisi wilayani humo,SSP Mohamed Kitia. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
masi3
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (katikati) akimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Kondoa, mkoani Dodoma, Sezaria Makota wakati alipokua akitoa taarifa yake ya Wilaya kwa kiongozi huyo ambaye yupo ziarani katika Wilaya ya Kondoa na Chemba.
masi4
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (katikati) akimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Chemba, mkoani Dodoma, Simon Odunga,wakati alipokua akitoa taarifa yake ya Wilaya kwa kiongozi huyo ambaye yupo ziarani katika Wilaya ya Kondoa na Chemba. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
masi5
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (katikati) akimsikiliza Mkuu wa Jeshi la Polisi Wilaya ya Kondoa, SSP Mohamed Kitia wakati alipokua akitoa taarifa yake ya Ulinzi na Usalama wilayani humo. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Kondoa, Sezaria Makota, na Mkuu wa Wilaya ya Chemba, Simon Odunga. Masauni yupo ziara ya kikazi katika Wilaya hizo ambapo alizitembelea Taasisi zilizopo ndani ya Wizara yake.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
masi6
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto) akiwasalimia Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama wa Wilaya ya Kondoa na Chemba mara baada ya kuwasili mjini Mkondoa kwa ajili ya ziara ya kikazi. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Reactions:

0 comments:

Post a Comment