Monday, 3 July 2017

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi wenzake wa Afrika akimwakilisha Rais John Pombe Magufuli katika mkutano wa AU katika Makao makuu ya Umoja huo mjini Addis Ababa- Ethiopia. Mkutano umefunguliwa hii Leo Julai 3, 2017.


Reactions:

0 comments:

Post a Comment