Friday, 14 July 2017

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan  akimjulia hali Khalfan Kikwete, (aliyekaa kintandani), ambaye ni mtoto wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete, (kulia)  ambaye amelazwa katika wodi ya Sewa Haji katika hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam akipatiwa matibabu Julai 13, 2017. Mama Salma Kikwete akiwa pichani pia.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
 Khalfan Kikwete, akimueleza Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan, anavyoendelea na matibabu
 Makamu wa Rais akimpa mkono wa polie Khalfan Kikwete.
 Rais Mstaafu wa awamu ya Nne, Jakaya Kikwete, akimshukuru Makamu wa Rais kwa kufika hospitalini kumjulia hali kijana wake, Khalfan Kikwete.
Mama Salma Kikwete, mama mzazi wa Khalfan, akishuhudia jinsi Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan, anavyompa moyo kijana wake aliyelazwa hospitali ya Muhimbili, jijini Dar es Salaam akipatiwa matibabu.
Reactions:

0 comments:

Post a Comment