Thursday, 20 July 2017


Katibu wa Bodi ya Wadhamini  ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji Prof. Mohamed Janabi akisoma taarifa ya utendaji kazi wa Taasisi hiyo  kwa kipindi cha miezi mitatu katika kikao cha Bodi kilichofanyika leo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ambaye pia ni Daktari Bingwa wa upasuaji wa Magonjwa ya Moyo na mishipa ya damu Prof. William Mahalu.


Mwenyekiti  wa Bodi ya Wadhamini  ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) ambaye pia ni Daktari Bingwa wa upasuaji wa Magonjwa ya Moyo na mishipa Prof. William Mahalu akiongoza kikao  cha bodi  kilichofanyika leo jijini Dar es Salaam.


Wajumbe wa Bodi ya Wadhamini  ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakisikiliza kwa makini  taarifa ya utendaji kazi wa Taasisi hiyo kwa kipindi cha miezi mitatu iliyokuwa  ikisomwa na Katibu ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI Prof. Mohamed Janabi katika kikao cha Bodi  kilichofanyika leo jijini Dar es Salaam.Kikao cha Bodi ya Wadhamini  ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kikiendelea.(PICHA NA JKCI)

Reactions:

0 comments:

Post a Comment