Sunday, 9 July 2017


Kamishna waVibali na Pasi nchini, Musanga Etimba akitoa maelezo kwa mwananchi Oliver Gabriel, aliyetembelea Banda la Idara ya Uhamiaji katika Maonesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam yoendelea kwenye Viwanja vya Mwalimu Nyerere barabara ya Kilwa,jijini Dar es Salaam. (PICHANA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI)


Mrakibu Msaidizi wa Idara ya Uhamiaji, Kitengo cha Uhusiano, Aziz Kirondomara (kushoto), akitoa huduma kwa mwananchi aliyetembelea Banda la Idara hiyo katika Maonesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea kwenye Viwanja vya Mwalimu Nyerere barabara ya Kilwa,jijini Dar es Salaam.Mkaguzi wa Idara ya Uhamiaji nchini, Mustafa Kipingu (kushoto), akitoa huduma kwa mwananchi aliyetembelea Banda la Idara hiyo katika Maonesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea kwenyeViwanja vya Mwalimu Nyerere barabara ya Kilwa, jijini Dar es Salaam.
Reactions:

0 comments:

Post a Comment