Friday, 28 July 2017


Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye, akiwa katika picha ya pamoja na ­­Wadau wa ­Vifaa vya Usalama dhidi ya majanga ya moto (TAFEDA), baada ya kufanya nao mazungumzo jijini Dar es Salaam leo Julai 28, 2017.(PICHANAJESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI)


Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji,ThobiasAndengenye (Katikati), akizungumza na Wadau wa Vifaa vya Usalama dhidi ya majanga ya moto (TAFEDA), walipokutana na kufanya kikao katika ukumbi wa Mikutano Makao Makuu ya Jeshi hilo, jijini Dar es Salaam Julai 28.

Mwenyekiti wa Wadau wa Vifaa vya Usalama dhidi ya majanga ya moto (TAFEDA), Mohamed Kaumbwa akitoa utambulisho wa ujumbe aliombatana nao, walipokutana na kufanya kikao na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobia Andengenye katika ukumbi wa Mikutano Makao Makuu ya Jeshi jeshi hilo jijini Dar es Salaam.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment