Sunday, 16 July 2017


Aliyekuwa Kamanda wa kikosi cha usalama barabarani (Traffic police), Kamishna Msaidizi Mwandanmizi (SACP), Mohammed Mpinga, (kulia), akimkabidhi nyaraka za kiofisi, Kamanda mpya wa kikosi hicho, Kamishna Msaidizi Mwandamizi, (SACP), Fortunatus Muselemu, makao makuu ya kikosi hicho jijini Dar es Salaam. Kamanda mpinga amehamishiwa Mkoani Mbeya anakokwenda kuwa Kamanda wa polisi wa mkoa huo.Reactions:

0 comments:

Post a Comment