Friday, 21 July 2017

Kaimu Kamishna wa Ustawi wa Jamii Bw. Rabikira Mushi(kushoto) akisikiliza maelezo kutoka kwa Afisa Mfawidhi wa Kituo cha kulea wazee cha Kolandoto Bi Sophia Kang’ombe jinsi ya kuwasha Jiko la Gesi lililopo katika kituo hicho ikiwa ni moja ya mradi wa majiko ya Gesi katika Makazi ya kulea wazee nchini wa pili kushoto ni Mganga Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dkt Rashid Mfaume.

Kaimu Kamishna wa Ustawi wa Jamii Bw. Rabikira Mushi akisikiliza taarifa kutoka kwa Fundi Msimamizi  Msaidizi wa ujenzi Bw. Deogratius Kinanga kuhusu maendeleo ya ujenzi wa bweni hilo wakati Kaimu Kamishna huyo alipotembelea kujionea maendeleo ya ujenzi kabla ya kuwekwa kwa Jiwe la Msingi

Muonekano wa Jengo litakalotumia kama Bweni la wazee katika Makazi ya kulea Wazee Kolandoto Mkoani Shinyanga.

Muonekano wa Majiko yanayotumia Nishati ya Gesi yatakayotumiwa kuhudumia katika makazi ya kulea wazee ya Kolandoto na makazi mengine ya kulea wazee nchini.Kaimu Kamishna wa Ustawi wa Jamii Bw. Rabikira Mushi akizungumza na Mwenyekiti wa wazee waishio katika makazi ya Kolandoto Shinyanga Mzee Maganga alipotembelea kujionea maendeleo ya ujenzi kabla ya kuwekwa kwa jiwe la Msingi katika jingo la bweni la wazee n maradi wa majiko yanayotumia Nishati ya Gesi.(PICHA NA RAYMOND MUSHUMBUSI WAMJW)

Reactions:

0 comments:

Post a Comment