Monday, 3 July 2017

unnamed
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ardhi,Maji,Nishati na Mazingira na Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Umeme Zanzibar (ZECO) pampoja na Uongozi wa ZECO katika kikao cha siku moja kilichofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,
1
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ardhi,Maji,Nishati na Mazingira na Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Umeme Zanzibar (ZECO) pampoja na Uongozi wa ZECO katika kikao cha siku moja kilichofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,[
2
Meneja Mkuu wa Shirika la Umeme Zanzibar (ZECO) Nd,Hassan Ali Mbarouk akitoa maelezo wakati wa kikao cha siku moja cha Ungozi wa Shirika hilo na Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Umeme Zanzibar (ZECO)  chini ya Mwenyekiti wake  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)  katika kikao cha kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja, [Picha na Ikulu.] 03/07/2017.
Reactions:

0 comments:

Post a Comment