Sunday, 23 July 2017

Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Mh. Dkt.Hamisi Kigwangalla(kushoto), akipena mikono na mmoja wa wazee wanaoishi kwenye makazi ya wazee na watu wasiojiweza Kolandoto mkoani Shinyanga baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa bweni kwa ajili ya watu hao Julai 22, 2017.
 
Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Mh. Dk.Hamisi Kigwangalla akifungua rasmi jiwe la msingi kwa ajili ya ujenzi wa Bweni la Wazee wasiojiweza la Kolandoto, Mkoani Shinyanga mapema jana Julai 22,2017
Bweni hilo la Wazee wasiojiweza linaloendelea kujengwa katika makazi ya Kolandoto, Mkoani Shinyanga
Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Mh. Dk.Hamisi Kigwangalla akipatiwa maelezo ya ujenzi wa bweni la Wazee Kolandoto
Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Mh. Dk.Hamisi Kigwangalla akikagua makazi ya wazee Kolandoto
Baadhi ya Wazee na watu mbalimbali waliojitokeza katika tukio hilo
Mwenyekiti wa Wazee wa makazi ya Wazee Kolandoto akitoa salamu za pongezi kwa niaba ya Wazee wanaolelewa kituoni hapo
Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Mh. Dk.Hamisi Kigwangalla akimpongeza Mwenyekiti wa Wazee wa waaolelewa kituo cha Kolandoto
Mhe. Nyabaganga Talaba – Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga akizungumza katika mkutano huo
Baadhi ya majengo ya zamani ya kituo cha Wazee wasiojiweza cha Kolandoto yanavyoonekana
Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Mh. Dk.Hamisi Kigwangalla akioneshwa chumba maalum cha mitungi ya gesi kilichojengwa kwa ajili ya kusaidia makazi ya wazee Kolandoto
 
Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Mh. Dk.Hamisi Kigwangalla akifungua rasmi jiko maalum la gesi kwa ajili ya kupikia vyakula vya Wazee wasiojiweza wa Kolandoto
Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Mh. Dk.Hamisi Kigwangalla akikata utepe wakati wa kukabidhi Bajaji kwa kambi hiyo ya Wazee Kolandoto
Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Mh. Dk.Hamisi Kigwangalla akikata utepe kwa ajili ya kukabidhi madawa na kisanduku cha huduma ya kwanza
Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Mh. Dk.Hamisi Kigwangalla akihutubia katika mkutano huo
Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Mh. Dk.Hamisi Kigwangalla akimpongeza mmoja wa Wazee wanaopatiwa huduma katika makazi hayo ya Kolandoto
Katibu Mkuu Maendeleo ya Jamii,Bi. Sihaba Nkinga akizungumza katika tukio hilo
Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Mh. Dk.Hamisi Kigwangalla akifurahia jambo na baadhi ya Wazee wanaopatiwa huduma katika makazi hayo ya Kolandoto wakati wa tukio la kuweka jiwe la msingi la bweni litakokuwa na uwezo wa kuchukua Wazee zaidi ya 20.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment