Thursday, 6 July 2017Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya TPB Profesa Lettice Rutashobya (kulia) akimkabidhi hundi kifani yenye thamani ya zaidi ya Shilingi Bilioni 1.032/- Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Dkt. Phillip Mpango.Fedha hizo ni gawio limetolewa kwa Serikali baada ya benki hiyo kupata faida ya shilingi Bilioni 15 mwaka 2016. Wakwanza kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Bi.Dorothy Mwanyika na wa pili kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya TPB Bw. Sabasaba Moshingi. Tukio hilo ilifanyika kwenye Makao Makuu ya Wizara ya Fedha na Mipango, mjini Dodoma
Reactions:

0 comments:

Post a Comment