Tuesday, 18 July 2017


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akionyesha kitabu chenye ripoti  ya nchi kuhusu Mpango wa Hiari wa Nchi za Umoja wa afrika kujipima kwa Vigezo vya Utawala (APRM)mara baada ya kuzindua taarifa hiyo kwenye Kituo cha Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere. (PICHA NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS)


NA OMR, DAR ES SALAAM
MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan leo amezindua Taarifa ya Nchi kuhusu Mpango wa Hiari wa Nchi za Umoja wa Afrika kujipima kwa Vigezo vya Utawala (APRM).Uzinduzi huo  ulihudhuriwa na  kiongozi wa Jopo la Mchakato huo kwa Tanzania ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Jopo  la Watu Mashuhuri Bi. Brigitte Sylvia Mabandla, Viongozi wengine wa APRM Tanzania ni Balozi Ombeni Sefue, Profesa Hasa Mlawa na Balozi Aziz Mlima aliyemuwakilisha Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki pamoja na baadhi ya Mawaziri wa Jamhuri ya Muungano na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.

APRM ni mpango wa hiari wa kujipima kwa vigezo vya utawala bora uliobuniwa mwaka 2003 na Wakuu wa Nchi na Serikali wa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika. Lengo la mpango huu ni kuziwezesha nchi  wanachama kujitathmini kwa vigezo vya utawala bora katika maeneo manne ambayo ni; Demokrasia na Utawala wa Kisiasa; Usimamizi wa Uchumi; Utendaji wa Mashirika ya Biashara; na Maendeleo ya Kijamii na Kiuchumi.

Akihutubia katika uzinduzi huo, Makamu Rais amewapongeza Wakuu wa Nchi na Serikali wanaoshiriki katika mchakato wa APRM kwa ujasiri wao wa kushirikishana taarifa za kuaminika kuhusu masuala ya utawala bora katika nchi zao. “Taarifa hizi zinaonesha wazi juu ya hali ya utawala bora katika Bara letu na kutupa nafasi ya kujirekebisha pale ambapo kuna dosari na kujipongeza pale tunapofanya vizuri na kuwapa wengine nafasi ya kujifunza zaidi’’ alisema Makamu wa Rais.

Aidha alisisitiza kuwa kupitia utaratibu huu tumeweza kuuonesha ulimwengu nguvu zetu za pamoja kama Bara la Afrika katika kuboresha demokrasia, amani na utulivu, utawala wa sheria na utawala bora kwa ujumla.

Kwa upande wa Tanzania, Makamu wa Rais alisema mchakato huu unatuonesha na kutukumbusha falsafa na maono ya Hayati Baba wa Taifa Mwl. Nyerere (Tujisahihishe, 1962) na Mwongozo wa TANU wa mwaka 1971.  Alisema nchi yetu imefanya mambo mengi katika kutekeleza mpango huo ikiwemo kuimarisha taasisi zinazoshughulikia masuala ya utawala bora ikiwemo Tume ya Haki za binadamu na Utawala Bora, taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa na sekretarieti ya maadili ya viongozi wa umma.

Kuhusu changamoto zilizobainishwa kwenye taarifa husika, Makamu wa Rais alisema kwa kiasi kikubwa zimepatiwa ufumbuzi katika Mkakati wetu wa Maendeleo 2025 unaolenga kukuza na kupanua wigo wetu wa uchumi ili kuwa nchi ya uchumi wa viwanda.  Kuhusu suala la Muungano alisema muundo wa Muungano wetu ni wa serikali mbili ambazo ni Serikali ya Jamhuri ya Muungano na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Makamu wa Rais alisema miongoni mwa maeneo ya vipaumbele katika mchakato wa kuelekea kuwa nchi ya viwanda  ni kuimarisha sekta ya nishati na umeme. “Kwa ujumla tumefanya jitihada kubwa katika huduma ya nishati kutokana  na ugunduzi mkubwa wa gesi asilia hapa nchini” alisisitiza Makamu wa Rais. Kwa sasa umeme unasambazwa kwa kasi katika vijiji vyetu kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA).

Serikali imefanya jitihada kubwa katika kuzipatia ufumbuzi changamo za kijamii kama vile elimu, afya na maji ambazo zilitajwa kama vikwazo katika taarifa husika. Aidha, Serikali imeongeza uandikishaji wa wanafunzi kwa shule za msingi na sekondari, imeboresha mazingira ya kujifunzia na kufundishia, imejenga madarasa na maabara, imeboresha maslahi ya walimu na kuhakikisha inajenga vyuo vya ufundi katika kila wilaya.

Pia Makamu wa Rais alisema Tanzania inatambua kuwa mchakato huu wa APRM ni endelevu hivyo serikali itaendelea na jitihada zake kuhakikisha kwamba changamoto zote zilizobainishwa ndani ya taarifa zinapatiwa majawabu kupitia serikali na taasisi zake, asasi binafsi na wananchi kwa ujumla.

Mwisho, alishukuru na kutambua mchango wa washirika wa maendeleo katika kufadhili kazi za APRM na kuwaalika kuendelea kuchangia shughuli za APRMTanzania ikiwemo mpango kazi wa Taifa.BY TANZANIA INFORMATION SERVICES.
TANZANIA has recorded big achievements in addressing challenges identified in African Peer Review Mechanism (APRM) Report.

Addressing the media today on the launching of APRM country report, The Executive Secretary of APRM Tanzania, Ms Rehema Twalib, (pictured above), said the Report which is expected to be lauched tomorrow, shows Tanzania has recorded good achievemets in many areas under review though still face many challenges.

Ms Rehema  who was accompanied by Head of Missions in the APRM Continental Secretariet and the Coordinator for the Tanzanian APRM process  Dr. Rachel Mukamunana, told members  of the press that Tanzania prepared its Base Report under APRM and submitted it to the heads of state and Government of participating counturies in 2013 and was also tabled before the Pan African Parliament in 2016.

In both occassions, Ms Rehema said members lauded Tanzania for its efforts to maintain peace and  tranquility, human rights, economic development, use of national language (Kiswahili), a union that has lasted for more than 50 years and measeures taken to address challenges in provision of social services.

The Executive Secretary told the press that participating countries in APRM, which is a voluntary process, are assessed in four thematic areas namely democracy and political governance, economic governance and management, corporate governance and socio-economic governance.
Tanzania, she said, has recorded big achievements since joing the project and, through Medium Term Expenditure Frameworks of Ministries, Departments and agencies, has continued to address the governance challenges that were identified since 2014.

She said APRM is a continuous process whereby people will be always informed of the developments and added that the review involves various stakaheolders including  public.

Ms Rehema Twalib said that APRM, which is a part of African self-monitoring mechanism, its the ultimate objective is to assist Africans countries, including Tanzania to strengthen governance in order to achieve sustainable development.

She emphasesed that the launching of the report was very important not only because it is part of the impelementation of the agreed principles but also signifies the continued “governmnet engagement and commitment towards addressig challenges identified in the APRM Report”.

Meanwhile, head of Missions in the APRM continental secretariat and coordinator of APRM process in Tanzania, Dr. Racheal Mukamunana said the launching of the report asserts the commitment of the current leadership under President John Pombe Magufuli to the implementation of APRM program.

She said the current leadership is steadfastly carrying on the work initiated by the previous government and that shows the continuing in the commitment of Tanzanian leadership to good governance in general and APRM program in particular.

“Though the Report was composed in 2012 but the current President is well committed in implementing it and that is what he has been doing since he took over from the previous leadership” Dr. Mukamunana noted.

She added that APRM “is an innovative instrument to assess ourselves (African countries). We have both challenges and best practices and through this program we learn from each other” She said.

For example, Dr. Mukamunana said countries can learn from Tanzania’s experience in maintaining peace and tranquility and can as well learn from Rwanda in upholding gender equality.

She told members of the press that the twenty participating countries are supposed to produce reports after every four or five years which document their performance and also identify new challenges which are supposed to be addressed by respective governments.

Responding to question from members of the press, the Dr. Mukamunana mentioned corruption in offices, land issues, gender equality including women empowerment and of late youth issues are among common challenges facing most countries in the continent.
The launching of the APRM country Report which is expected to be officially launched tomorrow by the Vice President Madame Samia Suluhu Hassan at Mwalimu Nyerere Convention centre will be attended by various stakeholders.

Among them are National leaders of the United Republic of Tanzania, National leaders from the Revolutionary Government of Zanzibar, Ministers from both sides of the Union, Permanent Secretaries  (URT), Principal Secretaries, Parliamentarians, Members of House of Representative, Judges, CSOs, Media, Political Parties, Private Sector, Cooperatives, the Youth, Women, Faith based Organizations, Farmers, Academia, The Commission for Human Rights and Good Governance, Electoral Commissions, and Development Partners.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment