Friday, 7 July 2017


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Katibu Mkuu Utumishi Dkt. Laurean Ndumbaro, wakati akiwasili kwenye msiba wa aliyekua Karani wa Baraza la Mawaziri, Hassan Rashid Shebuge, nyumbani kwa marehemu, Mbagala Majimatitu, (katikati) ni Katibu Mkuu Ikulu Alphayo Kidata, Julai 7, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akishiriki dua ya kumuombea marehemu ya aliyekua Karani wa Baraza la Mawaziri, Hassan Rashid Shebuge, nyumbani kwa marehemu, Mbagala Majimatitu, Julai 7, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, akisaini kitabu cha maombolezo, katika msiba wa aliyekua Karani wa Baraza la Mawaziri, Hassan Rashid Shebuge, nyumbani kwa marehemu, Mbagala Majimatitu, Julai 7, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akitoa pole kwa niaba ya Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, katika msiba wa aliyekua Karani wa Baraza la Mawaziri, Hassan Rashid Shebuge, nyumbani kwa marehemu, Mbagala Majimatitu, Julai 7, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Reactions:

0 comments:

Post a Comment