Wednesday, 7 June 2017


Waziri  Mkuu  Kassim  Majaliwa  akijaribu  kuandika  kwakutumia  kifaa maalumu  cha kujifunzia  kuandika kwa  watoto wenye ulemavu  wa  macho  Juni 6, 2017 kwenye shule ya msingi Uhuru Mchanganyiko jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Waziri wa Elimu Profesa Joyce Ndalichako.


Waziri Mkuu  Kassim  Majaliwa  akisalimiana na Ofisa  wa Banki ya Dunia anayeshughulikia  Elimu  nchini  Tanzania  Bibi  Cornelia  J esse , katikati ni Ofisa  wa  Ubalozi  Swiden  Nchini Tanzania  anayeshughulikia Elimu Bibi Helena  Reutersward , maofisa hao walishiriki katika  Uzinduzi  wa Usambaziji  vifaa   vya  kufundishia  Masomo ya  Sansi  Shughuli hiyo ilifanyika 6june2017   katika  Viwanja  vya  Jeshi  Lugalo  Dar es salaamWaziri  Mkuu  Kassim  Majaliwa  akimuangalia mtoto wa darasa la saba Shule ya Uhuru  Mchanganyiko ya jijini Dar es Salaam, Mariana  Alex  mwenye  ulemavu  wa macho  , anavyoweza kuandika  kwakutumia  mashine  maalumu  ya kuandikia, Juni 6, 2017 Waziri  Mkuu  alikabidhi  vifaa  vya Kujifunzia   katika shule mbali mbali hapa nchini.
Reactions:

0 comments:

Post a Comment