Friday, 9 June 2017


IRA4
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu(sera, bunge, kazi, vijana, na watu wenye ulemavu), Mhe. Jenista Mhagama, akiwa na Naibu Waziri Mhe Anthony Mavunde na Mkuu wa mkoa wa Iringa Mh. Amina Masenza  wakifurahia jambo walipotembelea taasisi ya Don Bosco  inayotekeleza mradi wa programu ya kitaifa ya kukuza ujuzi na nguvu kazi, stadi za maisha  kwa vijana, Mkoani Iringa

IRA1
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu(sera, bunge, kazi, vijana, na watu wenye ulemavu), Mhe Jenista Mhagama, akiwa na Naibu Waziri Mhe Anthony Mavunde wakikagua karakana na baadhi ya kazi zinazofanywa na Taasisi ya Don Bosco  wanaotekeleza mradi wa Programu ya kitaifa ya kukuza ujuzi wa nguvu kazi wa stadi za maisha ya Taifa kwa vijana, Mkoani Iringa mpango ambao utawanufaisha vijana elfu tatu mianne 3,400 mpango  unaogharamiwa na Serikali ya awamu ya tano chini ya Rais Mhe, Dkt. John Pombe Magufuli.
IRA2
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu(sera, bunge, kazi, vijana, na watu wenye ulemavu), Mhe Jenista Mhagama, akiwa na Naibu Waziri Mhe Anthony Mavunde wakikagua karakana hiyo.
IRA3
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu(sera, bunge, kazi, vijana, na watu wenye ulemavu), Mhe Jenista Mhagama, akiwa na Naibu Waziri Mhe Anthony Mavunde wakikagua moja ya mashine katika karakana ya chuo hicho.

IRA5
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu(sera, bunge, kazi, vijana, na watu wenye ulemavu), Mhe Jenista Mhagama, akiwa na Naibu Waziri Mhe Anthony Mavunde wakiwa na viongozi mbalimbali wa mkoa wa Iringa pamoja na baadhi ya wafanyakaziwa  wa chuo hicho.
IRA6
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu(sera, bunge, kazi, vijana, na watu wenye ulemavu), Mhe Jenista Mhagama, akiwa na Naibu Waziri Mhe Anthony Mavunde wakiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa chuo hicho.
Reactions:

0 comments:

Post a Comment