Wednesday, 14 June 2017


Mwanasayansi Samweli Mduma akipima kiasi cha damu ambacho ni mililita 450 iliyotolewa leo Juni 14, 2017 na Frank Mapunda katika kituo cha kuchangia damu cha Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) ikiwa ni maadhimisho ya siku ya kuchangia damu Dunia ambayo kaulimbiu yake  ni Changia damu, Changia sasa, Changia mara kwa mara.


Afisa Mtoa Damu   kutoka Mpango wa Taifa wa Damu  Salama Peter Chami akiangalia wingi wa damu ya  Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo Pedro  Pallangyo ambayo aliitoa katika kituo cha kuchangia damu cha Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) ikiwa ni maadhimisho ya siku ya kuchangia damu Dunia ambayo kaulimbiu yake  ni Changia damu, Changia sasa, Changia mara kwa mara.


Mwanasayansi Samweli Mduma akitafuta mshipa wa damu kwa ajili ya kumtoa damu George Marcus katika kituo cha kuchangia damu cha Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) ikiwa ni maadhimisho ya siku ya kuchangia damu Dunia ambayo kaulimbiu yake  ni Changia damu, Changia sasa, Changia mara kwa mara.Mtoa huduma Jema Mwampashi  akipima wingi wa damu ya mmoja wa wachangia damu   aliyefika   katika kituo cha kuchangia damu cha Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)  leo kwa ajili ya kuchangia damu  ikiwa ni maadhimisho ya siku ya kuchangia damu Dunia ambayo kaulimbiu yake  ni Changia damu, Changia sasa, Changia mara kwa mara.
Reactions:

0 comments:

Post a Comment