Sunday, 11 June 2017


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi , Mohammed Abdullah Aden (12) wa Somalia hundi ya shilingi milioni 15, 750,000/= mshindi wa kwaza wa mashindano ya 18 ya Afrika ya Kuhifadhi  Qur'an Tukufu yaliyofanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam Juni 11, 2017. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)Waziri Mkuu, Kasssim Majaliwa akizungumza katika kilele cha Mashindano ya 18 ya Afrika ya Kuhifadhi Qur'an Tukufu yaliyofanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam Juni 11, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Rais Mstaafu wa Awamu ya  Pili na Mlezi wa Taasisi ya Al- Hikima Foundation, Alhaj Ali Hassan Mwinyi akizungumza katika  kilele cha Mashindano ya 18 ya Kuhifadhi Qur'an Tukufu yaliyofanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam Juni 11, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Sheikh Sharif Abduqadir Mohamed Ahmed Al Ahdar ambaye ni Rais wa Taasisi ya Al - Hikima Foundation na Mlezi Mwenza wa Taasisi hiyo, katika  Mashindano ya 18 ya Afrika ya  Kuhifadhi Qur'an Tukufu  yaliyofanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam Juni 11, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mufti na  Sheikh Mkuu wa Tanzania  Sheikh Abubakr Zubeir bin  Ally (kulia) na Sheikh Sharif Abduqadir Mohamed Ahmed Al Ahdar ambaye ni Rais wa Taasisi ya Al - Hikima Foundation na Mlezi Mwenza wa Taasisi hiyo , katika  Mashindano ya 18 ya Afrika ya  Kuhifadhi Qur'an Tukufu  yaliyofanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam Juni 11, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul Makonda akizungumza kwenye hafla hiyo
Waziri Mkuu, Kasssim Majaliwa akizungumza katika kilele cha Mashindano ya 18 ya Afrika ya Kuhifadhi Qur'an Tukufu yaliyofanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam Juni 11, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Reactions:

0 comments:

Post a Comment