Friday, 16 June 2017

Mkurugenzi wa Mifumo ya Kompyuta wa Mfuko huo, Bw.Robert Mtendamema,(wapili kulia), akiwaongoza wafanyakazi wengine wa Mfuko huo, kuchukua futari, wakati wa hafla ya kufuturisha wafanyakazi wa PPF, iliyoandaliwa na Mkurugenzi Mkuu jijini Dar es Salaam.

NA K-VIS BLOG/Khalfan Said
MWEZI Mtukufu wa Ramadhani ni mwezi wa kutubu kwa waumini wa dini ya Kiislamu, ambapo kutekeleza hilo, waumini hujizuia kula, na kunywa wakati wa mchana, sambamba na kufanya ibada wakati wote.
Ni mwezi unaohimiza upendo na mshikamano miongoni mwa waislamu na wale wasio waislamu.
Kwa kuonyesha mshikamano huo ambao umehimizwa katika kipindi hiki, Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bw. William Erio, aliwaandalia futari wafanyakazi wa Mfuko huo jijini Dar es Salaam Juni 16, 2017.
Akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu, Mkurugenzi wa Mifumo ya Kompyuta wa Mfuko huo, Bw.Robert Mtendamema, aliwaambia wafanyakazi hao kuwa Mkurugenzi Mkuu ameamua kuwakutanisha pamoja wafanyakazi waislamu na wasio waislamu ili kuoneysha mshikamano mingoni mwao na ni ishara ya Mfuko kuwaunga mkono waumini wa dini ya Kislamu katika kutekeleza ibada hiyo ya funga.

Baadhi ya wafanyakazi wa PPF, wakichukua futari, wakati wa hafla ya kufuturisha iliyoandaliwa na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko huo jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya wafanyakazi wa PPF, wakifuturu wakati wa hafla ya kufuturisha iliyoandaliwa na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko huo kwa wafanyakazi wake jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya wafanyakazi wa PPF, wakiwa wamechukua uji tayari kwa kufuturu.Mkurugenzi wa Mifumo ya Kompyuta wa Mfuko huo, Bw.Robert Mtendamema, (katikati), akijumuika pamoja na wafanyakzi wenzake wakati wa kufuturu jijini Dar es Salaam

Baadhi ya wafanyakazi wa PPF, wakifuturu wakati wa hafla ya kufuturisha iliyoandaliwa na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko huo kwa wafanyakazi wake jijini Dar es Salaam.

 Bw. Mtemdamema akifurahia jambo wakati akipata futari na wafanyakazi wenzake

Mkurugenzi wa Mifumo ya Kompyuta wa Mfuko huo, Bw.Robert Mtendamema, akizungumza mara baada ya futari hiyo.

Mfanyaakzi wa PPF, akiomba dua mara baada ya wafanyakzi wa Mfuko huo kufuturu kwa pamoja jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya wafanyakzi wa PPF, wakibadilishana mawazo baada ya kufuturu kwa pamoja

Wafanyakzi hawa wa PPF, wakiagana baada ya kufuturu kwa pamoja

Mmoja wa waratibu wa futari hiyo ambaye pia ni Afisa Uhusiano Mwandamizi wa PPF, Bi. Janet Ezekiel, (kushoto), akipongezwa kwa maandalizi mazuri ya shugjuli hiyo
Reactions:

0 comments:

Post a Comment